"ENZI ya dhahabu ya Marekani inaanza hivi sasa...kuanzia leo, nchi yetu itastawi na kuheshimiwa...nitaiweka Marekani mbele." ni kauli aliyoitoa Rais wa Marekani Donald Trump muda mfupi mara baada ya ...
Amesema, kutokana na hali hiyo vijana wanapaswa kuwa mstari wa mbele, kukata bima ya afya ambayo itawasaidia katika matibabu ya magonjwa hayo. “Kutokana na hali hii vijana wanapaswa kuwa na bima ili ...