Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa ...
Mbali ya Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi hicho, lakini amewahi kuwa mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro kwa vipindi ...
Dk Mahenge amesema kuongezeka kwa miradi hiyo kumetokana na kuboreshwa kwa mazingira ya uwekezaji kunakofanywa na Serikali ...
Katika hotuba yake, Lissu amegusia masuala mbalimbali ambayo uongozi wake utayasimamia ikiwamo kushusha madaraka na kuweka ...
Katika nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wapigakura waliojisajili walikuwa 1,014 kura zilizopigiwa ni 999, halali ...
Kuhusu hatua ya Mbowe kukubali matokeo hata kabla ya kutangazwa Lissu amesema ni kitendo cha heshima kukubali matokeo na ...
Dar es Salaam. Kada wa Chadema, Godbless Lema ameeleza sababu za kumtetea Makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ...
Baada ya Dk Nchimbi kuingia kwenye siasa hapo ndipo mikiki mikiki ikaanza. Alianza safari ya kisiasa akiwa mjumbe wa ...
Trump pia alitia saini amri ya Serikali kurejesha uhuru wa kusema na kuzuia udhibiti wa uhuru wa kujieleza na moja kumaliza ...
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imemtangaza Jacqueline Woiso kama mjumbe wake wa bodi, Januari 10, 2025.
Mwaka 1997, Kinana akiwa na umri wa miaka 45, alitangaza kutogombea nafasi yoyote ndani ya CCM. Kisha, alikwenda Chuo Kikuu ...
Uamuzi huo wa wajumbe, unahitimisha safari ya miaka 21 ya uenyekiti wa Mbowe aliyepokea wadhifa huo kutoka kwa Bob Makani ...